Waandishi wajituma kuufahamisha umma kuhusu habari potofu za Mpox, COVID-19
"Mjini Kinshasa, ninapoishi, nimegundua kwamba kuna hali ya kutojali kuhusu raia kupambana na virusi vya Corona kwa sababu watu wengi hawaamini kwamba kuna ugonjwa huo idadi kubwa ya watu wasioamini kwamba kuna ugonjwa ni wale wanaoishi nje ya mji," J. Kazimoto.
Naye Daniel Makeke ni mhariri. Anasema juhudi hizo ni muhimu katika kupambana na habari potofu. Vituo vya radio vinategemea podcasts ili kueneza taarifa kuhusu magonjwa na majanga, namna ya kupata tiba, ukweli kuhusu tiba na chanzo cha monkeypox, miongoni mwa mengine. Kwa namna hiyo, tunaweza hata kuwafikia watu wasiokuwa na uwezo wa mtandao wa kidijitali ambao wanafaidika na kazi yetu ya kutafuta ukweli.
Makeke anasema juhudi za Eleza ukweli zinasaidia kuzuia kusambaa kwa habari za uongo kuhusu magonjwa kusambaa, zinazoweza kuwa hatari kwa afya.
Mwandishi wa habari Zanem Nety Zaidi ameandaa ripoti hii kutoka Goma, DRC.
#habaripotofu #drc #goma #waandishi #voa #voaswahili #covid19 #mpox #virusi
9 Aug 2025
- The multi-pronged structure is all under the Inspector General of Police.
9 Aug 2025
- Phase one of the stadium's construction has already begun.
9 Aug 2025
- Sifuna has been critical of President Ruto, demanding his ouster.
10 Aug 2025
- Energy Principal Secretary Alex Wachira has said that electricity vandals were on the rise thereby causing economic sabotage in the country disrupting services and endangering communities and hence called on security to put efforts in tackling the vice.
10 Aug 2025
- India shot down five Pakistani fighter jets and one other military aircraft during clashes in May, India's air force chief said on Saturday, the first such statement by the country months after its worst military conflict in decades with its neighbour.
10 Aug 2025
- Haiti's former national palace security chief, Vladimir Paraison, was appointed national police chief by the country's transitional government on Friday, as the Caribbean nation looks to battle armed gangs that have displaced over a million people.
10 Aug 2025
- The commerce department has started issuing licenses to Nvidia to export its H20 chips to China, a U.S. official told Reuters on Friday, removing a significant hurdle to the AI bellwether's access to a key market.
10 Aug 2025
- Colombian president Gustavo Petro announced Friday the start of fresh talks with Clan del Golfo, the country's largest drug-trafficking gang and the world's largest producer of cocaine.
10 Aug 2025
- 'Dr Aden' fears journos' questions more than a cold July morning
10 Aug 2025
- How Ruto's goofs created a US-China dilemma
10 Aug 2025
- Trump's hand in relocation of UN bodies from New York to Nairobi
10 Aug 2025
- Ruto and allies flirting with danger by chest thumping about 2027 poll
10 Aug 2025
- Which way to resolve late funds disbursement to counties?