Kambi Ya Soka Ya Tiktak Yazinduliwa Katika Eneobunge La Dagoretti

  • | TV 47
    28 views

    Kambi Ya Soka Ya Tiktak Yazinduliwa Katika Eneobunge La Dagoretti

    Beyond Hoops Africa ambalo ni shirika lisilo la kiserikali kwa ushirikiano na mchezaji wa zamani wa Tusker FC, Mathare United na Sofapaka wameanzisha kambi ya kandanda ya vijana walio chini ya miaka 18 katika eneo bunge la Dagoretti.

    #TV47Matukio

    __

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __