Skip to main content
Skip to main content

NCIC yamuita Gavana Kahiga kutoa ufafanuzi kuhusu kauli zake zinazozua utata kuhusu kifo cha Raila

  • | TV 47
    73 views
    Duration: 1:29
    NCIC yamuita Gavana Kahiga kufafanua kauli tata. Kauli zake kuhusu kifo cha Raila zatishia mshikamano wa kitaifa. NCIC yasema viongozi wa umma lazima wawajibike. Baraza la Magavana lapongezwa kwa kumwondoa Kahiga. Wito wa heshima na maelewano miongoni mwa viongozi watolewa. #TV47Matukio Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.' *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __ Connect with us: Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __