- 422 viewsRaia wa Cameroon watapiga kura mwaka ujao kumchagua rais kwa muhula mwingine wa miaka saba. Chaguzi za awali katika taifa hili la Afrika ya Kati zilikumbwa na taarifa potofu ambazo zilichochea machafuko kwenye mitandao ya kijamii. Sasa, waandishi wa habari na wataalamu wa vyombo vya habari wanasema wanachukua hatua za mapema ili kuzuia kurudiwa kwa masuala haya. Amboh Vanessalizzy, mtayarishaji wa Maudhui huko Buea, alikuwa akipitia mitandao ya kijamii wakati habari zilipoibuka kuwa rais wa Cameroon, Paul Biya, amefariki. Bila njia yoyote ya uthibitisho, alisubiri mawasiliano rasmi hadi serikali ilipotoa taarifa ya kukanusha uvumi wa kifo cha Rais kama ndoto tu Amboh Vanessalizzy, Mtengenezaji Maudhui asema:Kwa kadiri tunavyotaka mabadiliko, simuombei kifo mtu yeyote. Taarifa potofu kama zile zinazomhusu rais zinaweza kuwa za mara kwa mara, hasa wakati wananchi wa Cameroon wakielekea kwenye uchaguzi mwaka ujao. Batata Boris-Kaloff]], Meneja wa Kituo cha CBS Buea aeleza: "Tayari ninajitayarisha kukabiliana na taarifa potofu za uchaguzi ambazo zinaweza kuja. Uwe na uhakika, huko Buea, kuna wanasiasa na kutakuwa na mijadala kuhusu miradi hapa na pale." Ripoti ya Njodzeka Danhatu wa VOA. #cameroon #waandishi #habaripotofu #chaguzi #ghasia #voaswahili
Waandishi wanamatumaini ya kukabiliana na habari potofu
- 17 Jun 2025 - NAIROBI CBD protests: Man fatally shot on Moi Avenue; tension high outside Bliss Medical Centre where he was rushed after the incident.
- 17 Jun 2025 - City car dealer and businessman Joseph Kairo Wambui, alias Khalif Kairo has filed an application seeking the recusal of Senior Principal Magistrate M. Murage from presiding over his ongoing criminal trial, citing alleged bias and a compromised…
- 17 Jun 2025 - Three men have been charged with the murder of Kasipul MP Charles Ong'odo Were.
- 17 Jun 2025 - Police shoot dead man in Nairobi CBD during protests over Albert Ojwangs death; victim, reportedly a mask vendor, was shot at close range.
- 17 Jun 2025 - Scores of goons could be seen
- 17 Jun 2025 - Africa is not a passive recipient of aid or a battleground for influence but a continent at the threshold of intra-Africa trade and economic independence, Prime Cabinet Secretary Musalia Mudavadi has said.
- » Scenes outside Bliss Medical Centre in the Nairobi CBD where police reportedly shot dead a protester17 Jun 2025 - NAIROBI CBD protests: Man fatally shot on Moi Avenue; tension high outside Bliss Medical Centre where he was rushed after the incident.
- 17 Jun 2025 - The police officer was caught on camera shooting the man.
- 17 Jun 2025 - Scores of goons could be seen
- 17 Jun 2025 - Update as of June 16, 2025.