- 424 viewsJude Mbaku ni mwanahabari mwingine, na mhariri mkuu wa DMRTV Buea, mkaguzi mkuu wa kuhakiki habari za kweli katika eneo ambalo hapo awali liliathiriwa na habari potofu. Mbaku anasema ameona makundi yanayotumia mitandao ya kijamii kupotosha umma, na matokeo yake ni makubwa. Jude Mbaku wa DMRTV Buea -Mhariri Mkuu anasema: Timu ya Cameroon ilipokwenda Cote d’Ivoire kwenye michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika, tetesi zilienea kwamba Njie Clinton amejiuzulu kwenye kikosi. Na walioeneza habari hizi walikuwa wapiganaji waliojitenga. Hili halikufanywa kama jambo la makosa. Ilikuwa imeandaliwa vizuri na kutayarishwa vyema ili kupotosha watu. Karloff anasema kuwa waandishi wa habari wa Cameroon wanakabiliwa na changamoto nyingi katika kuripoti kwa usahihi, ikiwa ni pamoja na ufadhili mdogo, hatari za usalama, na upatikanaji mdogo wa habari. Boris-Kaloff Meneja wa kituo cha CBS Buea anatoa maelezo zaidi: "Nchini Cameroon, ni vigumu kupata takwimu na data. Unajua, nimekwenda kwa wajumbe wa kanda wa usafiri kuulizia takwimu za magari yaliyosajiliwa kusini-magharibi, haswa huko Buea, na nikaambiwa niende kusimama barabarani kuanza kuhesabu magari mimi mwenyewe." Ripoti ya Njodzeka Danhatu wa VOA, Buea, Cameroon. #timu #mpira #cameroon #voa #voaswahili #njieclinton #cotedivoire #judembaku #dmrtvbuea #mharirimkuu #voa #voaswahili #habaripotofu
Mhariri wa Kituo cha DMRTV aeleza jinsi habari potofu zilivyo enezwa katika soka
- 17 Jun 2025 - NAIROBI CBD protests: Man fatally shot on Moi Avenue; tension high outside Bliss Medical Centre where he was rushed after the incident.
- 17 Jun 2025 - City car dealer and businessman Joseph Kairo Wambui, alias Khalif Kairo has filed an application seeking the recusal of Senior Principal Magistrate M. Murage from presiding over his ongoing criminal trial, citing alleged bias and a compromised…
- 17 Jun 2025 - Three men have been charged with the murder of Kasipul MP Charles Ong'odo Were.
- 17 Jun 2025 - Police shoot dead man in Nairobi CBD during protests over Albert Ojwangs death; victim, reportedly a mask vendor, was shot at close range.
- 17 Jun 2025 - Scores of goons could be seen
- 17 Jun 2025 - Africa is not a passive recipient of aid or a battleground for influence but a continent at the threshold of intra-Africa trade and economic independence, Prime Cabinet Secretary Musalia Mudavadi has said.
- » Scenes outside Bliss Medical Centre in the Nairobi CBD where police reportedly shot dead a protester17 Jun 2025 - NAIROBI CBD protests: Man fatally shot on Moi Avenue; tension high outside Bliss Medical Centre where he was rushed after the incident.
- 17 Jun 2025 - The police officer was caught on camera shooting the man.
- 17 Jun 2025 - Scores of goons could be seen
- 17 Jun 2025 - Update as of June 16, 2025.