Skip to main content
Skip to main content

Wawakilishi wa jamii ya wafanyakazi wa ngono waandamana Mtito Andei; wakosa kondomu na madawa

  • | TV 47
    86 views
    Duration: 2:33
    Wawakilishi wa jamii ya wafanyakazi wa ngono waandamana Mtito Andei. Wanalalamikia kusitishwa kwa huduma muhimu za kinga dhidi ya UKIMWI. Wito wa kurejeshwa kwa dawa za PrEP, kondomu na upimaji wa mara kwa mara. Serikali yaombwa kuimarisha usaidizi wa afya kwa jamii zilizo hatarini. Mafanikio ya mapambano dhidi ya UKIMWI yamo hatarini. #TV47Matukio Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.' *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __ Connect with us: Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __