Skip to main content
Skip to main content

Keiyo Kaskazini: Vijana 39 pekee wasajiliwa kupiga kura tangu kuanza kwa shughuli hiyo

  • | TV 47
    13 views
    Duration: 3:07
    Idadi ndogo ya vijana wajisajili kupiga kura, Keiyo Kaskazini imesajili vijana 39 pekee tangu shughuli ianze. Marakwet Mashariki imesajili vijana 135. Marakwet Magharibi 49. Elgeyo Marakwet inalenga kusajili 60,000. Vijana hawana ufahamu wa kutosha. Wengi wao bado wako shuleni. #TV47Matukio Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.' *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __ Connect with us: Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __