Seneta Okiya Omtata aongoza maandamano dhidi ya serikali kulaani utekaji nyara
Polisi mjini Nairobi, Kenya Jumatatu walilazimika kutumia mabomu ya kutoa machozi kutawanya waandamanaji waliokuwa wakilalamikia visa vya utekaji nyara vya wale wanaoonekana kuipinga serikali.
Waandamanaji hao wakiongozwa na Seneta Okiya Omtata baadhi ya viongozi hao walijifunga minyororo na kubeba mabango yaliyokashifu uongozi wa serikali ya Rais William Ruto kwa kuendeleza ukiukaji wa haki za kibinadamu.
Vuta nikuvute hiyo ilichukua zaidi ya saa nane kabla ya polisi kutumia nguvu kuwakamata viongozi hao.
Haya yanajiri siku chache baada ya Rais Ruto kuahidi angesitisha visa vya utekaji nyara.
Wiki iliyopita Tume ya Taifa ya Haki za Binadamu ya Kenya (KNCHR) ilisema takriban watu 82 wametekwa nyara tangu mwezi juni maandamano ya vijana yalipoanza.
Ripoti hiyo ilibaini utekaji nyara huo uliofanywa kisiri na kufikia sasa watu 29 hawajulikani walipo.
#polisi #kenya #nairobi #utekajinyara #maandamano #mabomu #voa #voaswahili #seneta #okiyaomtata
10 Aug 2025
- Kenyans have been urged to report hospitals charging for certain SHA services.
10 Aug 2025
- The chief officer for environment will seek reinforcement from thousands of workers.
10 Aug 2025
- Nearly 50 passengers have lost their lives in a fortnight.
11 Aug 2025
- Why Nairobi Hospital is in battle for survival
11 Aug 2025
- 28 years in bed: Naomi's relentless fight for dignity
11 Aug 2025
- Devolution system's good, bad and ugly 12 years later
11 Aug 2025
- Like Jomo Kenyatta and Kwame Nkrumah, 'saviour' Ruto has disappointed
11 Aug 2025
- Gachagua, Ruto and Uhuru face crucial Mt Kenya by-election test
11 Aug 2025
- Wild cheers, wild bites: Football meets game meat in Dar es Salaam
11 Aug 2025
- Nearly three years into President William Ruto's administration, many of his promises appear to be caught in a loop of disruption, chaos, and last-minute damage control.
11 Aug 2025
- Elevated prolactin during pregnancy can reduce intimacy.
11 Aug 2025
- Bomet's new cardiac centre set to transform heart care across Africa
11 Aug 2025
- State moots plan to secure 20pc stake in high-risk industries