Mzozo wa ugavi wa shamba la Torosei huko Kajiado watokota

  • | Citizen TV
    390 views

    Mzozo kuhusu utoaji wa hati miliki za ekari 46,000 za shamba la Torosei kaunti ya Kajiado unazidi kutokota. viongozi wa kaunti ya Kajiado sasa wanataka wizara ya ardhi kusimamisha shuguli hiyo na badala yake itoe nafasi kwa wanachama kuamua namna hati miliki hizo zitatolewa. Robert Masai na Mengi zaidi.