Madarasa duni ya gredi ya 9

  • | Citizen TV
    471 views

    Hali ya wasiwasi inazidi kuingia baadhi ya wasimamizi wa shule katika maeneo ya mashinani kwa kukosa madarasa ya gredi ya tisa. Taswira katika baadhi ya shule maeneo ya Bonchari kule Kisii ingali ya kusikitisha.