Zogo barabara ya Kisii - Isebania

  • | Citizen TV
    1,397 views

    Shughuli za kawaida zilitatizika pakubwa katika eneo la Nyachenge kwenye barabara kuu ya Kisii kuelekea Isebania baada ya wananchi kufunga barabara hiyo wakilalamikia kuachiliwa kwa washukiwa wa mauaji ya kinyama ya watu wawili katika eneo moja la burudani.