Rais Ruto aelekea Ghana anapotarajiwa kumpigia debe Raila kwa uenyekiti wa AUC

  • | TV 47
    763 views

    Kampeini ya Odinga ya uenyekiti wa AUC yaingia kipindi cha lala salama.

    Rais Ruto aelekea Ghana anapotarajiwa kumpigia debe Raila.

    Raila akita kambi nchini Maritius alipokutana na Waziri Mkuu Navinchandra Ramgoolam.

    Raila asema Maritius iko nyuma yake.

    Maritius ilibadilisha msimamo wake baada ya waziri wake kuzungumza na Rais Ruto kwa simu.

    Ruto alikutana na Rais Mteule wa Ghana Mahama aliyemtembelea nyumbani kwake Narok.

    #UpeoWaTV47

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __