Maandamano ya kupinga visa vya utekaji nyara yakosa kufanyika leo

  • | KBC Video
    68 views

    Shughuli ziliendelea kama kawaida katika miji mingi mikuu nchini licha ya vitisho vya maandamano ya kulalamikia visa vya utekaji nyara nchini kutoka kwa baadhi ya wakenya katika mitandao ya kijamii. Hata hivyo polisi walishika doria katika miji ya Nairobi na Mombasa tayari kukabiliana na hali yoyote ambayo ingejiri. Haya yanajiri huku baadhi ya wataalamu wachanga kutoka kanisa la Adventist wakishinikiza kuachiliwa kwa vijana wote waliotekwa nyara.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive