Wizara ya elimu yakiri kuwepo na changamoto katika kukamilisha madarasa yote ya gredi ya 9

  • | K24 Video
    30 views

    Wizara ya elimu imekiri kuwepo na changamoto katika kukamilisha madarasa yote ya gredi ya 9 kote nchini. Hii ikiwa siku ya kwanza ya muhula mpya na kwa gredi ya 9 ya kwanza. Serikali imetangaza kuwa takriban asilimia 93 ya madarasa ya gredi ya 9 yako tayari na yamekamilika.