Serikali yasema inaendeleza uchunguzi kuhusu utekaji nyara

  • | K24 Video
    102 views

    Idara ya polisi, kupitia kitengo cha DCI sasa inawahakikishia wakenya kwamba inachunguza kwa kina kesi zote za watu walioripotiwa kupotea nchini, huku kesi nyingi zikiwa bado zinashughulikiwa mahakamani, nyingine zikiendelea kuchunguzwa.Hili linajiri huku vijana wanne kati ya sita walioripotiwa kupotea kwa zaidi ya siku kumi na tano zilizopita wakitangamana tena na familia zao. Wakati huo huo, vijana wasomi wa kanisa la kiadventista sda wanaishurutisha serikali kuachilia kwa Kibet Bull na vijana wengine waliotekwa nyara nchini Kibet ni nduguye Rony Kiplagat, ambaye pia alitekwa nyara na kuachiliwa leoNE