Biashara I Eneo la viwanda huko Kenanie linatarajiwa kufunguliwa rasmi mwezi Machi

  • | KBC Video
    165 views

    Eneo la viwanda huko Kenanie, kaunti ya Machakos ambalo linakaribia kukamilika, linatarajiwa kufunguliwa rasmi mwezi Machi mwaka huu. Naibu rais Profesa, Kithure Kindiki ambaye alizuru eneo hilo kukagua ujenzi huo , alisema shughuli za kuunganisha eneo hilo na umeme pamoja na kuweka miveraji ya maji zinaharakishwa . Taarifa hiyo na nyinginezo ni kwenye mkusanyiko wa habari za biashara..

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive