Mwanamke Bomba | Aziza Mohamed ni daktari wa kike wa mifupa

  • | Citizen TV
    1,022 views

    Sio watu wengi wenye ujasiri wa kubadili mkondo kwenye taaluma zao haswa wakati ambapo wanapata malipo mazuri. Hata hivyo aziza mohamed, ambaye alikuwa daktari wa watoto, aliamua kusomea utaalamu wa mifupa na sasa amekuwa kiungo muhimu kaunti ya lamu huku akiwa mwanamke wa pekee anayefanya kazi hiyo mkoani pwani. Je ni kipi kilichomchoea kuchukua mkondo huo?