Familia zatafuta watu wanne waliotekwa Mlolongo

  • | Citizen TV
    3,997 views

    Familia za vijana wanne ambao bado hawajulikani waliko kwa siku 22 sasa zinaishi kwa hofu kuhusu hatma ya wana wao. Steven Mbisi Kavingo, Martin Nyuko Mwau, Kalabi Mwema, na Justus Mutumwa walitekwa nyara katika mtaa wa Mlolongo tarehe 16 na 17 disemba mwaka jana na hadi sasa juhudi za kuwatafuta zimeambulia patupu