Baadhi ya viongozi wanataka tume maalum kubuniwa

  • | Citizen TV
    741 views

    Baadhi ya viongozi kutoka eneo la kati wanataka tume maalum kubuniwa ili kuchunguza visa vya utekaji nyara nchini. Viongozi hao ambao vile vile ni wafuasi wa aliyekuwa naibu rais Rigathi Gachagua wanataka mkurugenzi wa idara ya upelelezi wa jinai Mohammed Amin na inspekta jenerali wa Polisi Douglas Kanja kuchukuliwa hatua kwa kuruhusu maafisa wa usalama watumiwe na serikali kutekeleza uhalifu.