Wandani wa Gachagua wadai utekaji nyara unalenga wachacha na kutaka tume ya uchunguzi kutungwa

  • | TV 47
    144 views

    Wabunge wandani wa Gachagua wataka tume ya uchunguzi.

    Wabunge na Maseneta wataka tume hiyo ichunguze utekaji nyara.

    Wandani wa Gachagua wadai utekaji nyara unalenga wachacha.

    Ambao ni wakosoaji wakuu wa uongozi wa Rais Ruto.

    Vijana 5 waliotekwa nyara mwaka jana waliachiliwa Jumatatu.

    Wabunge wataka mabunge yote kufanya vikao maalum.

    Wabunge waelezea hofu ya kuibuka tena kwa magenge.

    Magenge hayo yadaiwa kutisha raia na wapinzani wa serikali.

    #UpeoWaTV47 @l_lizah

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __