Swala la utekaji nyara na ukiukaji wa haki za binadamu linasidi kukithiri nchini.

  • | K24 Video
    11 views

    Swala la utekaji nyara na ukiukaji wa haki za binadamu linasidi kukithiri nchini. Katika hotuba yake kwa taifa mnamo Novemba 2024, rais William Ruto aliahidi kuweka mikakati ya kukabiliana na utekaji nyara. Lakini, ahadi hiyo bado haijatimizwa. serikali imelaumiwa kwa kuhusika na visa hivi, ingawa waziri wa usalama kipchumba murkomen, amejitenga na madai haya.