Wazazi katika shule ya msingi ya Hillside Academy wajitokeza kuwarejesha watoto wao shuleni

  • | K24 Video
    16 views

    Wazazi katika shule ya msingi ya Hillside Academy wamejitokeza kwa idadi kubwa kuwarejesha wanao shuleni wakielezeza imani yao kuhusu usalama wa wanao shuleni humo, miezi michache baada ya mkasa wa moto ulioteketeza bweni na kugharimu maisha ya wanafunzi ishirini na mmoja. Kama njia mojawapo ya kuhakikisha usalama na kuondoa hofu miongoni mwa wanafunzi usimamizi wa shule hiyo umefu