VISA VYA UTAPELI HOMA BAY

  • | KBC Video
    8 views

    Mwenyekiti wa chama cha UDA eneo la Karachuonyo dkt Ramadhan Abdul ametoa onyo kali kwa watu wanaodaiwa kukusanya pesa kutoka kwa wakazi kwa kizingizio cha kuwawezesha kukutana na katibu katika wizara ya usalama wa taifa Raymond Omollo

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive