Rais Ruto: Chungeni watoto wenu, watapotoshwa na wanasiasa

  • | K24 Video
    537 views

    Rais William Ruto sasa anasema kwamba kuna watu wanaowachochea vijana kutundika matusi katika mitandao ya kijamii na kwenginek, na sasa anawataka vijana kuwa waajibikaji na pia kuwarai wazazi kuchunga wanawao kutokana na watu wanaowachochea ili kuwa na kizazi kilichonyooka usoni