Mwili wa Lydia Tosiokesi aliyepatikana ametupwa msituni Ngong wafanyiwa upasuaji

  • | Citizen TV
    6,141 views

    Mwili unaohofiwa kuwa wa Lydia Tosiokesi msichana wa miaka 29 aliyepotea wiki mbili ziliyopita ,umefanyiwa upasuaji hii leo katika chumba cha kuhifadhia maiti cha ongata rongai. Ripoti ya upasuaji imebaini kuwa mwili ilikuwa umejeruhiwa vibaya na kuoza kiasi cha kutotambulika. Sampuli na dna za familia zimechukuliwa kwa uchunguzi zaidi.