Mutahi Kagwe aapa kukabiliana moja kwa moja na matapeli wanaouzia wakulima mbolea na mbegu feki.

  • | K24 Video
    28 views

    Waziri mteule wa kilimo na mifugo Mutahi Kagwe ameapa kukabiliana moja kwa moja na matapeli wanaouzia wakulima mbolea na mbegu feki. Kagwe ambaye amehojiwa na kamati ya bunge la taifa, amesema lengo lake kuu ni kuhakikisha mkulima anapata faida ili kuvutia vijana wengi kushiriki kilimo.