Mahakama yawazuia washukiwa wawili wa mauaji ya aliyekuwa kaimu afisa mkuu wa tume ya IEBC

  • | K24 Video
    128 views

    Mahakama ya Shanzu imewazuia kwa siku 21 washukiwa wawili wa mauaji ya aliyekuwa kaimu afisa mkuu wa tume ya uchaguzi na mipaka IEBC kaunti ya Kilifi Aisha Abubakar. Wawili hao joseph sunday na Brian Templer Oyere watazuiliwa mpaka uchunguzi utakapokamilika. Aisha Akinyi Abubakar alivamiwa nyumbani kwake katika mtaa wa Utange, kaunti ya Mombasa na kuuawa kinyama.