Kinara wa Wiper Kalonzo Musyoka ataka rais Ruto ajiuzulu

  • | K24 Video
    26 views

    Kinara wa Wiper Kalonzo Musyoka sasa anamtaka rais William Ruto kujiuzulu kutokana na suala la utekaji nyara nchini. Semi za kalonzo zinajiri siku moja baada ya waziri wa utumishi kwa umma justin muturi kudai kuwa mwanawe alitekwa nyara na serikali. Kalonzo amesisitiza kuwa visa vya mauaji na utekaji nyara chini ya serikali ya kenya kwanza vinapaswa kuchungwa na mahakama ya jinai, ICC