Hawasali, hawafungi, wanafuga nyewele zao kwa mashungi au rasta na kuvalia nguo zenye rangi nyingi na viraka…Hapa nawazungumzia Baye Fall, kikundi cha Waislamu nchini Senegal kinachoibua maswali kutoka kwa makundi ya kihafidhina ya kiislamu ndani na nje ya nchi hiyo kwa namna imani yao ilivyo tofauti na Uislamu uliozoeleka. Nguzo kuu za imani yao ni kujitolea kufanya kazi kwa bidii na kwa nguvu zote na dhana ya 'Ndiguel', ambayo ni kujitolea kumtumikia sheikh au Khalifa wao. Taarifa hiii ya mshindi wa tuzo ya BBC ya Komla Dumor Rukia Bulle inawasilishwa na Agnes Penda.
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
20 Jul 2025
- President William Ruto has called on parents to take greater responsibility for the upbringing of their children, warning that neither the government nor institutions like the church can replace the role of parenting.
20 Jul 2025
- Wiper Party leader Kalonzo Musyoka on Saturday rejected claims that he could be joining President William Ruto’s government, which he calls “rogue and criminal”.
20 Jul 2025
- Public Service Cabinet Secretary Geoffrey Ruku has assured Kenyans that President William Ruto has no intention of rigging the 2027 General Election, insisting he will win fairly and squarely at the ballot. Speaking after attending Mass at Regina Caeli…
20 Jul 2025
- Cleophas Malala, the Democracy for the Citizens Party (DCP) deputy party leader, has publicly criticised President William Ruto for failing to express condolences to families who lost their children during recent anti-government protests. While…
20 Jul 2025
- Kaplong Girls High School in Bomet County has been closed indefinitely after students went on a rampage on Saturday night protesting alleged sexual harassment by a section of academic staff, among other grievances.