Abdul Sykes @princedullysykes ni mwanamuziki kutoka nchini Tanzania ambaye amewahi kutamba na nyimbo kama Hi, Salome, Bombardier na sasa anatamba na wimbo wa zali ambao amemshirikisha Alikiba.
@princedullysykes anatajwa kuwa ni mwanzilishi muziki wa kizazi kipya Tanzania maarufu kama Bongo Flava wakati huo ilihali kulikuwa na wanamuziki wengine. Je hii inatokana na nini?
@princedullysykes atakuwa mubashara akizungumza na @loko_omi katika nyota wa Afrika Mashariki kuanzia majira ya saa nane mchana kupitia ukurasa wa Youtube na Facebook wa BBCSwahili.
#bbcswahili #tanzania #nyotawafrikamashariki #bongofleva
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
20 Jul 2025
- National Assembly Speaker Moses Wetang’ula has called on politicians to refrain from making statements he says could compromise the operations of the newly reconstituted Independent Electoral and Boundaries Commission (IEBC).
20 Jul 2025
- President William Ruto has called on parents to take greater responsibility for the upbringing of their children, warning that neither the government nor institutions like the church can replace the role of parenting.
20 Jul 2025
- Wiper Party leader Kalonzo Musyoka on Saturday rejected claims that he could be joining President William Ruto’s government, which he calls “rogue and criminal”.
20 Jul 2025
- Public Service Cabinet Secretary Geoffrey Ruku has assured Kenyans that President William Ruto has no intention of rigging the 2027 General Election, insisting he will win fairly and squarely at the ballot. Speaking after attending Mass at Regina Caeli…