Shambulizi dhidi ya mca kitusuru ;Baadhi ya vijana wa ODM washtumu kisa hicho

  • | KBC Video
    21 views

    Baadhi ya viongozi wa vijana katika chama cha ODM kutoka eneo bunge la Westlands katika kaunti ya Nairobi, wameshutumu uvamizi wa hivi maajuzi dhidi ya mwakilishi wadi wa Kitusuru Alvin Olando. Vijana hao walitaja uvamizi huo usiofaa na unaolenga kudhoofisha demokrasia na utawala wa sheria.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive