Kuimarisha ukusanyaji ushuru I Kaunti ya Machakos yaimarisha mifumo yake

  • | KBC Video
    1 views

    Kaunti ya Machakos imeimarisha mifumo ya ukusanyaji mapato ya umma kwa kubuni kanuni zake za kukusanya malipo , kutumia mitambo na kuchapisha utaratibu utakaosaidia kuimarisha ukuaji jumla WA mapato ya kaunti hiyo .Maafisa wa tume ya ukusanyaji mapato wakiongozwa na kamishna Muasya Mutiso aliyetembelea kaunti hiyo walipongeza juhudi za gavana Wavinya Ndeti katika kuimarisha na kulainisha mchakato wa ukusanyaji mapato katika kaunti ya Machakos

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive