Viongozi wa ODM waitaka serikali kukomesha visa vya utekaji nyara katika mazishi ya Roseline Odede

  • | Citizen TV
    2,234 views

    Viongozi Wa Kisiasa Na Watetezi Wa Haki Za Binadamu Wameshtumu Vikali Ongezeko La Visa Vya Utekaji Nyara Nchini. Wakizungumza Katika Kaunti Ya Siaya Kwenye Hafla Ya Mazishi Ya Mwenyekiti Wa Tume Ya Kitaifa Ya Kutetea Haki Za Binadamu Knchr Roseline Odede, Viongozi Hao Waliitaka Serikali Iwajibike Kwa Kukomesha Visa Vyovyote Vya Ukiukaji Wa Haki Za Binadamu.