24 Oct 2025 7:05 pm | Citizen TV 1,975 views Duration: 2:05 Madaktari kutoka kaunti ya Kiambu hatimaye wamesitisha mgomo ambao umekuwa ukiendelea kwa miezi mitano sasa. Hii ni baada ya kaunti hiyo kukubali kuwalipa mishahara ambayo ilikuwa imesitishwa wakati wa mgomo.