Naibu wa rais akutana na viongozi kutoka kaunti ya Kajiado

  • | Citizen TV
    882 views

    Naibu rais Kithure Kindiki amewahakikishia wakenya kuwa serikali itatimiza ahadi zake kabla ya uchaguzi mkuu ujao.