Dennis Kithuri, mvulana mwenye tawahudi, atoweka baada ya ibada ya kanisa

  • | NTV Video
    276 views

    Jioni ya tarehe 14 Desemba 2024, Dennis Kithuri mwenye umri wa miaka 11, mvulana mwenye tawahudi, alitoweka baada ya kuhudhuria kanisani na mamake. Jioni ya tarehe 14 Desemba 2024.ilikuwa mara ya mwisho familia yake kumwona katika Kanisa la Kinoo sda, ambako walikuwa amekwenda kwa ibada yao ya kanisa la sabato

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya