- 1,710 viewsMawaziri wa Mambo ya Nje wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) na Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) wamekutana Ijumaa Februari 07, 2025 jijini Dar es Salaam, Tanzania, kujadili hali ya usalama Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC). Katika hotuba zao, viongozi wa mkutano huo wameeleza kuwa hali ya usalama Mashariki mwa DRC bado ni tete, huku mashambulizi ya makundi ya waasi kama M23 yakisababisha vifo vya raia na walinda amani, pamoja na kuzorotesha hali ya kibinadamu. Wameeleza kuwa wanawake, watoto na watu wenye ulemavu ndiyo waathirika wakubwa wa mgogoro huu. Mawaziri hao wametoa wito kwa pande zote zinazohusika katika mgogoro wa DRC kuheshimu sheria za kimataifa, kulinda wanadiplomasia na kuhakikisha misaada ya kibinadamu inawafikia wahitaji. Wameeleza kuwa njia pekee ya kuleta amani ya kudumu ni kupitia mazungumzo badala ya mapigano yasiyoisha. Ripoti ya mwandishi wa VOA, Amri Ramadhani #voaswahili #afrika #congo #drc #goma #m23 #sadc #eac #mawaziri #mamboyanje
Viongozi wa EAC na SADC waeleza hali ya usalama DRC bado tete
- - Tamati ››
- 16 Jun 2025 - The technician, who was reportedly paid Ksh.3,000 to disable the surveillance system, was remanded in Kilimani Police Station with a second suspect. Their detention follows an application by IPOA through its Assistant Director of Forensics, Paul Njihia.
- 16 Jun 2025 - The High Court in Isiolo issued an order stopping the impeachment of Governor Abdi Guyo pending hearing and determination of the case before it.
- 16 Jun 2025 - Four senior police officers charged in baby Samantha Pendo’s murder case have been granted a cash bail of Ksh.1 million shillings and two sureties of Ksh.500,000 each.
- 16 Jun 2025 - The weatherman has also listed regions that are expected to experience cold temperatures.
- 16 Jun 2025 - It has now emerged that the late Albert Ojwang killers were paid Sh2,000 and bought alcohol before they executed the murder mission.
- 16 Jun 2025 - During the phone call, the Head of State assured the family that justice would be served.
- 16 Jun 2025 - The late Albert Ojwang's father revealed details of a phone conversation with the president.
- 16 Jun 2025 - Own Source revenue collection for July 2024 to March 2025
- 16 Jun 2025 - The County Assembly has been restrained from debating the ouster motion tabled last week.
- 16 Jun 2025 - Lagat pushed to resign despite 'stepping aside'