Skip to main content
Skip to main content

Serikali yawaonya wanaopanga kurudi Msituni Kirisia, Samburu

  • | Citizen TV
    1,892 views
    Duration: 3:02
    Serikali imewaonya wafugaji wanaopanga kurejea katika msitu wa kirisia kaunti ya Samburu. Wakazi wengi waliondoka kwa hiari ili kupisha shughuli za uhifadhi wa msitu huo miaka michache iliyopita, lakini sasa baadhi yao wanapanga kurudi msituni humo.