27 Oct 2025 1:41 pm | Citizen TV 3,761 views Duration: 2:13 Sekta ya utalii inatarajiwa kuiamarika baada ya ujio wa meli ya utalii ya SH DAINA iliyowasili katika bandari ya Lamu baada ya kutoka Bandari ya Shimoni huku ikitazamiwa kuelekea bandari ya Mombasa.