Babake amedokeza kuwa mwanawe alikuwa akiugua kifafa

  • | Citizen TV
    2,193 views

    Kijana mwenye umri wa miaka kumi na sita ambaye ni mwanafunzi wa gredi ya tisa katika shule sekondari msingi ya Chelilis katika eneo bunge la Bureti kaunti ya Kericho ameaga dunia baada ya kushiriki mchezo wa kutupa jiwe maarufu shot put