Skip to main content
Skip to main content

ODM yadhibitisha kuendeleza ushirikiano na serikali, Oburu Odinga aidhinishwa kuwa kinara mpya

  • | Citizen TV
    9,296 views
    Duration: 2:49
    Kamati kuu ya chama cha ODM imetangaza kuwa chama hicho kitaendeleza ushirikiano wake na serikali ya Rais William Ruto hadi mwaka wa 2027. kamati hiyo pia iliyoandaa mkutano wake wa kwanza tangu kifo cha aliyekuwa kinara wake Raila raila Odinga kimemuidhinisha rasmi Seneta wa Siaya Oburu Odinga kama kinara mpya wa chama hicho