Skip to main content
Skip to main content

Polisi wamkamata mshukiwa aliyemfyatulia risasi afisa wa usalama Kisumu

  • | Citizen TV
    8,763 views
    Duration: 2:23
    Polisi jijini Kisumu walimkamata mshukiwa mmoja aliyemfyatulia risasi afisa wa usalama mapema leo asubuhi. Mshukiwa huyo aliyetambuliwa kama Kevin Oduor anadaiwa kuwa na watu wengine wawili waliofumaniwa katika soko la Nyamlori kaunti ya Kisumu. maafisa wa polisi pia walipata bunduki aina ya AK 47 pamoja na risasi saba