Skip to main content
Skip to main content

Watu watano wafariki kwenye visa tofauti vya mauaji Machakos na Nakuru

  • | Citizen TV
    11,889 views
    Duration: 2:18
    Watu watano wamefariki kwenye visa tofauti vilivyotokea kaunti ya Machakos na Nakuru. Kwenye kisa cha Machakos, mwanamume mmoja aliyemuua rafikiye wa kike kwa kumkata panga alipigwa na umati hadi kufa huku mjini Naivasha, familia ikiomboleza tukio ambapo baba mmoja aliwaua wanawe wawili na kisha kujitia kitanzi