Skip to main content
Skip to main content

Wanafunzi milioni 2.4 waanza mitihani ya kitaifa huku baadhi wakikosa kwa kukosa kusajiliwa

  • | Citizen TV
    1,716 views
    Duration: 3:53
    Wanafunzi milioni 2.4 leo wameanza mitihani yao ya kitaifa ya gredi ya sita na gredi ya tisa kote nchini huku baadhi ya wanafunzi wakianza mitihani yao kuchelewa. baadhi ya wanafunzi katika shule moja ya msingi hapa Nairobi wamekosa kufanya mtihani kwa kukosa kusajiliwa