27 Oct 2025 7:45 pm | Citizen TV 6,365 views Duration: 1:51 Zaidi ya nyumba 30 zimeteketezwa moto huku watu kadhaa wakiuwawa katika eneo la Rombo kaunti ya Kajiado kufuatia Mapigano mapya yaliyozuka kati ya jamii mbili zinaosihi eneo hilo.