Naibu Rais Kindiki akiri kuwa bima mpya ya SHA ina changamoto

  • | Citizen TV
    767 views

    Serikali sasa inakiri kuwepo kwa changamoto kwenye mfumo mpya wa bima ya Taifa Care . Naibu Rais Profesa Kithure Kindiki kwenye kikao cha pamoja cha afya amesema kuwa serikali inafahamu malalamishi yaliyopo kuhusu bima hii huku hofu ikizidi kuhusu udhabiti wa bima hii...