Mshukiwa wa wizi wa pikipiki auawa na wakazi Limuru

  • | NTV Video
    897 views

    Mshukiwa mmoja wa wizi wa pikipiki, ameuawa na wakazi pamoja na wahudumu wa bodaboda waliokuwa na ghadhabu Limuru kaunti ya Kiambu, huku polisi mmoja naye akisalia na majeraha baada ya kushambuliwa na umati wakati alikuwa anajaribu kumuokoa mshukiwa huyo.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya