Wakaazi wa Samburu wapokezwa ngamia kujiendeleza kiuchumi

  • | Citizen TV
    181 views

    Afisa mkuu wa idara ya mifugo katika serikali ya Kaunti ya Samburu Saiwana Lekerpes,amewaonya wale waliofaidi na usambazaji ngamia unaoendeshwa na serikali ya Kaunti hiyo kutowapiga mnada ngamia