Rais asema mradi wa barabara ya urefu wa kilomita 750 kutoka Isiolo hadi Mandera sio utani

  • | KBC Video
    317 views

    Rais William Ruto anasema ahadi yake ya kujenga barabara ya urefu wa kilomita 750 kutoka Isiolo hadi Mandera itatimizwa. Rais alisema barabara hiyo ni sehemu ya ajenda ya serikali ya kuhakikisha mgao sawa wa rasilimali za taifa.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive