Kilo 1,500 za nyama ya punda zanaswa barabarani Embu

  • | Citizen TV
    521 views

    Polisi mjini Embu wanamzuilia mshukiwa mmoja aliyekamatwa usiku wa kuamkia leo akisafirisha kilo elfu moja na mia tano za nyama ya punda. Mtu huyo alikuwa akisafirisha nyama hiyo kutoka Kiritiri kuelekea Embu